top of page

Mahali shule ilipo kutoka Arusha Mjini Stendi kuu ya mabasi

SCHOOL LOCATION

 

Kisimiri High School is one of the Tanzania  Community Secondary Schools in Arusha Region, 67km from Arusha town, and is behind the Mount Meru 

 

NJIA RAHISI KUFIKA SHULENI KUTOKA ARUSHA MJINI

Ukifika stendi kuu ya mabasi Arusha Mjini panda magari yanayokuja Kisimiri Sekondari,magari ya  Neema za Mungu au Urio yanayoondoka hapo stendi saa saba na nusu mchana, ukichelewa muda huo kuna magari mengine ya makampuni hayo hayo yanayoondoka hapo stendi kuja huku shuleni saa tisa na nusu japo yatafika kwa kuchelewa, mwambie dereva nishushe Kisimiri Sekondari, hakikisha unapanda gari sahihi linalofika Kisimiri Sekondari na sio vinginevyo

 

bottom of page